FUNGA DUKA LYRICS
VERSE 1
Na si ni ye alisema mi nimwage ndani
Nikajiuliza sa hizi ndo gani Alidai anapenda stingo flani
Nimcall tupatane magizani
Na kwa mfuko sikuwa hata na Bob
Nikafuliza ndo nipate kitu small PRE CHORUS
Banana ndo ile kitu alipenda
Karanja nikama ye alimfyeka
Ona sasa anataka (kuniangamiza x2)
Banana ndo ile kitu alipenda
Karanja nikama ye alimfyeka
Ona sasa anataka (kuniangamiza x2)
CHORUS
LAKINI LEO SIKUPI HATA NGO NIMEFUNGA DUKA
NAJUA UNTAKA LAKINI SIUZI BIDHAA NIMEFUNGA DUKA
NASEMA LEO SIKUPI HATA NGO' SIKUPI HATA NGO'
HATA NGOO X4 VERSE 2
Nilikupa Cd tucheze ndo usinimeze Out of the fire into the frying pan
Ukasema ni kelele ,tutajulia mbele You never listen girl you never learn
Siwezi danganya najishuku sana
Nikikumbuka vitu
Sasa mizigo yako ona nabeba Siwezi danganya najishuku sana
Nikikumbuka vitu tulifanya
tulifanya
Sasa mizigo yako ona nabeba PRE CHORUS
Banana ndo ile kitu alipenda Karanja nikama ye alimfyeka
Ona sasa anataka (kuniangamiza x2)
Banana ndo ile kitu alipenda
Karanja nikama ye alimfyeka
Ona sasa anataka (kuniangamiza x2)
CHORUS
LAKINI LEO SIKUPI HATA NGO NIMEFUNGA DUKA
NAJUA UNTAKA LAKINI SIUZI BIDHAA NIMEFUNGA DUKA
NASEMA LEO SIKUPI HATA NGO' SIKUPI HATA NGO'
HATA NGO' X4