Warning: foreach() argument must be of type array|object, null given in /www/wwwroot/mp3b.com/function.php on line 411
iki Aşk - Humara_Lamqo - 音乐榜 - 免费无损音乐MP3、FLAC、WAV播放下载网站
iki Aşk - Humara

Lamqo

专辑:《DOBA (Freestyle) [Explicit]》

更新时间:2025-03-08 08:19:08

文件格式:mp3

网盘下载

iki Aşk - Humara 歌词

Woah

It's Lamqo

Ku-Na-DO-Ba Inanichallenge

Nitaihandle poa juu niko na talent

Bond yangu na Doba hukua covalent uh!

Wako marapper huniitisha challenge

Kujeni tushindane fom ya kujaza wallet

Nikisema I get paid for rapping on beats

Jua kuna fom imetokea ya 10 G's

But am the only G anadeserve hii fee

Juu mtaani me hutoa fom as you can see

Wameanza rumors aty nimeomoka

Na juu niko busy wanasema nawatoka

But me hukua mboka

Daily me huamkia mboka

Juu mboka ni mboka

Bora upate ya mama mboga

Am loving my current lifestyle

Kuna time nilikua naadmire my profile

I was born inJericho

I am the chosen one

My mans wanabelieve I am the only one

Uh!

Wacha niongee na mabest rapper wenyu

Nikitokea fom wanachange hadi venue

Wameshatuzoea wanajua taste yetu

Ndio maana kila meza me huenda haina menu

Music industry ya Kenya manze iko ****ed up

But juja na MAD tunakuja kama back up

Toa fom inasave wasanii wali**** up

Tokea hivi juja maweekend nikumash up

Hii cash ikiingia tu hivi me nazima phone

But itakua possible if only you download

Ni twenty pekee, kama huna omba loan

I need you guys, siwezi make it on my own

Huku Kenya kupenda pesa sio kesi

But hio pesa ndio mwanzo wa kila kesi

Uh!

Naskia kuna fom hizi zone

But fom sio fom kama Lamqo haperform